Wednesday, 27 August 2014

Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Dodoma.
Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali,
kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha
kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
akisema linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya.

Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad amesema litaendelea kupokea
mapendekezo kutoka kwa watu na makundi mbalimbali hadi hapo litakapohitimisha kazi yake.
Kwa muda sasa, wawakilishi wa taasisi mbalimbali wamekuwa wakifika Dodoma kuwasilisha
mapendekezo yao wakitaka yazingatiwe kwenye Katiba Mpya kwa maelezo ya kutoonekana
katika rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Suala hilo limezua mjadala hasa katika mitandao ya kijamii ambako watu mbalimbali
wamekuwa wakihoji sababu za Bunge hilo kufanya kile kinachotafsiriwa kuwa ni ‘kukusanya
maoni’, kazi ambayo tayari ilishafanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Akitetea hoja hiyo, Hamad alitetea akisema wananchi, watu au taasisi zinazotoa mapendekezo
yao zinashirikiana na wabunge katika mchakato wa kile kinachoendelea bungeni hivi
sasa.“Tutaendelea kupokea maoni ya wananchi kwa sababu na sisi tunaendelea kujadili, kwa
hiyo kadri makundi yatakavyoleta maoni yao, tutayapokea na kuyapitisha kwenye mchakato wa
kuyawezesha kuzingatiwa kama yataonekana yanafaa,” alisema Hamad.
Warioba na wasomi
Akizungumzia hatua hiyo, Jaji Warioba aliponda kitendo cha kukusanywa upya kwa maoni hayo
akisema yalishachukuliwa na Tume yake na kuingizwa katika Rasimu ya Katiba.
“Nyaraka zote za maoni, yakiwamo ya makundi hayo tuliziwasilisha, sasa wanakusanya maoni
mapya ili iweje? Wanatakiwa kufuata maoni ya wananchi na si ya makundi na kama wanafanya
hivyo basi maoni ya makundi hayo yakusanywe hadharani ili wananchi wayasikie ili nao
waweze kuchangia,” alisema jana.
Alitolea mfano wa maoni yaliyotolewa na Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (
ALAT)
,
kwamba ni makosa kuchukua maoni hayo na kuyaacha yaliyotolewa nawananchi.
“Naona kuhusu ardhi eti wamechukua maoni ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi, hii si
sahihi kabisa. Kama wanajadili suala la serikali za mitaa, ardhi na maliasili wanatakiwa
kuyaongeza mambo hayo katika mambo ya muungano kwa sababu hivi sasa mambo hayo si ya
muungano na ndiyo maana Tume hatukuyaingiza katika Rasimu ya Katiba,” alisema.

Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.
Katika taarifa yake jana, Arfi alisema hatua yake ya kwenda mahakamani inatokana na ukweli
kwamba baada ya Bunge Maalumu kukataa muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba, haiwezekani tena kujadili Rasimu ya Tume.
“Badala yake kinachofanyika kwa sasa ni kuandika rasimu nyingine ili iendane na muundo wa
serikali mbili ambao ndiyo Chama cha Mapinduzi wanaoutaka,” alisema na kuongeza kuwa
kinachofanyika sasa katika kamati ni mabadiliko makubwa ya Katiba ya sasa na siyo uandishi
wa Katiba Mpya.
“Kimsingi, baada ya wabunge wanaotokana na vyama vinavyounda Ukawa kuondoka, ni kama
sasa nyani amekabidhiwa shamba la mahindi lisilo na mlinzi. Kwa hali inavyokwenda
kinachofanyika siyo kutengeneza Katiba Mpya, bali kufanya marekebisho makubwa katika
katiba iliyopo,
” alisema Arfi.
Alisema tayari amewasiliana na mawakili wake na kwamba mchakato wa kufungua kesi hiyo
kwa hati ya dharura uko katika hatua za mwisho.
Arfi akiwa ni mbunge pekee wa Chadema ambaye amehudhuria vikao vya Bunge la Katiba
baada ya chama chake kususia, alisema anakwenda kupinga kuendelea kwa Bunge hilo kwa
sababu kinachoendelea kwa sasa ni kujadiliwa kwa rasimu ya CCM badala ya ile iliyowasilishwa
na Tu
Ngowi Ngowi Ngowi posted in TANURU LA FIKRA
Ngowi Ngowi Ngowi
9:44pm Aug 25
KINACHOENDELEA DODOMA NI UWENDAWAZIMU.
Wanajamvi habarini. Ni imani yangu kuwa muu bukheri wa afya.
Ni hivi majuzi niliweka andiko langu lililokuwa na kichwa.."KINACHOENDELEA DODOMA NI
UHANI"..Kutokana na nilichokishughudia leo kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo
cha television cha STAR TV nimegundua kuwa kinachoendelea Dodoma ni zaidi ya uhuni na nilichoona
ni uwendawazimu.
Uwendawazimu ni hali ya zaidi ya ukichaa ama upunguani na mtu mwendawazimu huwa anafanya
mambo tofauti na matarajio ya jamii husika bila kuzingatia muda, mahali, hali na bila hata kujali
waathirika wa tukio husika. Kwa kifupi mwendawazimu hufanya mambo pasipo hushirikisha hata
chembe ya ubongo ndani ya kichwa chake.
Nimeshangaa sana kuona ati kamati za bunge zinapokea maoni kutoka kwa wasanii wa muziki na
maigizo na kumsikia spika wa bunge maalumu la katiba akisema kuwa maoni hayo wameyapokea na
watayaweka kwenye sura ya nne ya rasimu ya pili inayojadiliwa na kamati za bunge zinazoendelea
Dodoma.
Ni ukweli kama wahenga walivyosema kuwa sikio la kufa huwa halisikii dawa na wengine wakasema
mwenda tezi na onga marejeo ni ngamani. Ukiitafakari misemo hii miwili ya wahenga utagundua kuwa
mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba hasikii kelele za watanzania wanaosema kuwa rasimu ya tume
ya Jaji Warioba iliyobeba maoni ya watanzania imesiginwa na kutupiliwa mbali na kinachojadiliwa sasa
ni maoni ya mwenyekiti wa CCM.
Kana kwamba haitoshi bunge maalumu la katiba limesaha majukumu yake iliyopewa kisheria na sasa
imeanza kutekeleza majukumu ya tume ya maoni. Huu una tofauti gani na uwendawazimu? Leo
nimesikia wasanii, yawezekana kesho nikasikia waendesha bodaboda, keshokutwa mama ntilie,
mtondogoo tukasikia wapishi, kiukweli sitashangaa kusikia wala kuona kutokana na uwendawazimu wa
watakaopokea maoni.
Hivi ni kweli Samweli Sita aliyesifiwa kuwa ni mzee wa spidi na viwango hajui kuwa kinachoendelea ni
uwendawazimu? Hivi ni kweli kuwa hajaisoma sheria vizuri au ni kwamba amefungwa miguu na
minyororo ya ushabiki kwa chama chake? Ni upofu gani alio nao Samweli Sita? Au ni ulevi tu wa
madaraka na kujisahau?
Sote tutakumbuka kuwa Warioba alisema kuwa walizingatia sana mantiki katika kuchambua maoni ya
watanzania yaani
(
qualitative analyisis
)
. Kwa mantiki hiyo alisema kuwa sio maoni yote yalifaa kuwekwa
kwenye rasimu ya katiba, badala yake wameona ni bora mambo hayo ambayo hawakuyaweka kwenye
rasimu yawekwe kwenye sheria mbali mbali za nchi. Kwa msingi huo sio kila maoni yaliwekwa kwenye
rasimu.
Sasa Sita kasahau anaanza kukusanya maoni upya. Kulikuwa kuna haja gani ya kundwa kwa tume
iliyogharimu mabilioni ya watanzania hawa masikini wavuja jasho wasiokuwa na uhakika wa kipande
cha sabuni kwa siku kama mlijua bunge maalumu la katiba lilikuwa na uwezo wa kukusanya maoni ya
wananchi?
Kwa uwendawazimu huu ni dhahiri kuwa Samweli Sita kavimbiwa madaraka na hajui anololifanya. Je
mtu huyu anayeshindwa hata kusimamia sheria ndogo ya nchi anapata wapi ujasiri wa kusema anatamani
kuwa rais? Ama Jakaya kafanya hata mwendawazimu afikiri anaweza kuwa rais.
NAWAZA TU KWA SAUTI.
N.NGOWI.Bunge lajigeuza Tume ya Warioba

Peter Michael Mabula posted in UWANJA WA DINI - RELIGIOUS FORUM
Peter Michael Mabula
5:59am Aug 26
DALILI ZA KUVAMIWA NA MAPEPO
BWANA YESU asifiwe!
Leo nakuletea ujumbe wa tofauti kidogo, ujumbe wa kukusaidia kuzikataa kazi za shetani zote ambazo
hutulazimisha kufanya mabaya na wakati mwingine hutulazimisha kufanya yale ambayo hata sisi
wenyewe hatutaki kufanya ila roho ya shetani iliyoko ndani yetu ndio hutulazimisha kufanya. Lakini
baada ya ujumbe huu utaweza kushinda kwa jina la YESU KRISTO.
Mapepo ni hali ya utendaji kazi wa shetani.
Ni viumbe wa kiroho wanaomwingia mwanadamu na kumfanyisha au kumsaidia kufanya uovu mbele za
MUNGU. Ndugu jichunguze na kama una baadhi ya dalili hizi hapo chini hakikisha unavunja kwa
maombi mpango huo wa shetani kwa jina la YESU KRISTO
(
1 Yohana 3:8b
)
 Kwa kusudi hili MWANA
wa MUNGU alidhihilishwa ili azivunje kazi za ibilisi.
MUNGU akubariki sana na kama hujaokoka mpokee BWANA YESU leo maana wokovu ni sasa.
DALILI 13 ZA KUVAMIWA NA MAPEPO.
1: Kukosa amani ghafla au kuhisi vitu vinatufanya tuwe na hofu na woga. 2 Timotheo 1:7 ''Maana
MUNGU hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.'', na katika 1 yohana
4:18 ''Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu;
na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo''.
2: Kukosa uhuru wa kufanya tunavyotaka na kulazimishwa kufanya tusiyotaka kutokana na nguvu fulani
kutoka ndani mwetu.
3: Kuota ndoto usiku ambazo hutufanya tuwe na kichwa kizito sana wakati wa kuamka, kuota majitu ya
kutisha kwa namna ya kivuli yakitaka kutukaba au kutudhuru.
4: Kukosa usingizi kabisa na akili yetu kufunikwa na mawazo mfululizo.
5: Vitu kutembea mwilini, kuhisi mwili unawaka moto.
6: Kusahau kusiko kwa kawaida na kuwa na uzito kichwani.
7: Kupiga miayo hovyo tena mfululizo tena bila kuchoka chochote.
8: Kuchukia mme/mke bila sababu yoyote.
9: Hali ya kubebeshwa mzigo kichwani ,kifuani,mgongoni au sehemu nyingine lakini mzigo huo
hauonekani kwa macho.
10: Kuwa na hali ya kuogopa vitu vidogo vidogo kama kivuli, au kuogopa kuwa pekeyako chumbani,
kuogopa kuvuka daraja au barabara.
11: Kukosa uwezo wa kufikiri, kupenda kuongea wakati wote hata ukiwa peke yako na kukosa kusikiliza
wengine. Kuwa na hali ya kulewa bila kunywa kileo chochote.
12: Kwa hali isiyo ya kawaida kuona watu wanakuja kufanya uasherati na wewe ndotoni, kuota
unapelekwa porini, kunyweshwa madawa ya uganga ndotoni, pia kuota ndoto za watu waliokufa
wakifanya mazungumzo na wewe.
13: Kusisimka mwili ghafla na nywele kusimama.
Ayubu 4:15.
''Ndipo pepo ilipita mbele ya uso wangu; Na nywele za mwili wangu zilisimama. ''
Ndugu kama una moja ya dalili hizo hakikisha unafanyiwa maombezi na umpokee BWANA YESU
maishani mwako ili uwe mbali na uonevu huu wa mapepo ambao ni mawakala wa shetani. Na katika
BIBLIA kitabu cha zaburi 68:20 pia Zaburi 50:15
Kwa sasa naishia hapo, MUNGU akitupa nafasi tutajifunza tena siku nyingine.na kama hujampokea
BWANA YESU muda wa kumpokea ni leo wala sio kesho, amua leo na atakuandika jina lako katika
kitabu cha uzima na utaanza kuukulia wokovu kwa mafundisho kanisani. MUNGU ana makusudi kabisa
na wewe, hataki upotelee motoni anataka uende uzimani aliko KRISTO BWANA.
MUNGU akubariki sana .
Ni mimi ndugu yako
Peter M Mabula
Maisha ya Ushindi Ministry.
0714252292
mabula1986@gmail.com
MUNGU akubariki sana uliyesoma somo hili.
MUNGU Akubariki.
Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi.PICHA|MAKTABA
Akizungumzia kesi hiyo iliyofunguliwa na Kubenea, Arfi alisema naye amesikia na kwamba
atashauriana na mawakili wake ili kuona namna ya kufanya.
Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani
kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya

N.NGOWI.